
THE SHIFT 2026- English Version
THE SHIFT 2026 A new world is being built before us - and to a great extent, we are already living inside it. We work, shop, pay, learn, communicate and make decisions through digital systems. Yet many people…

Pata maarifa na ujuzi wa vitendo kuelewa mabadiliko ya sasa, kutumia teknolojia na kujenga fursa za kazi na biashara. Geuza uelewa kuwa vitendo na uwe sehemu ya movement inayojenga uchumi wa kidijitali.
Enzi ya kidijitali imefika na inabadilisha namna tunavyoishi, kufanya kazi na biashara. Fahamu sababu za kuanzishwa Beula Digital na jinsi maarifa, ujuzi na vitendo vinavyokusaidia kutumia fursa za sasa.
Elewa mabadiliko yanayojenga dunia yetu, pata maarifa na ujuzi wa vitendo na chukua hatua kuzalisha thamani. Beula Digital inakusaidia kutumia teknolojia kujenga fursa za kazi, biashara na maendeleo ya jamii sasa.
Elewa mabadiliko yanayoathiri kazi, biashara na jamii.
Jifunze jinsi blockchain inavyofanya kazi, matumizi na hatari zake.
Imarisha elimu ya fedha na maamuzi yenye uelewa.
Jenga ujuzi unaotumika na geuza elimu kuwa vitendo.
Tumia teknolojia kutatua changamoto na kujenga biashara.
Pata vitabu, programu za elimu na maarifa ya vitendo.
Soma THE SHIFT 2026 na rasilimali nyingine za kujifunza.

THE SHIFT 2026 A new world is being built before us - and to a great extent, we are already living inside it. We work, shop, pay, learn, communicate and make decisions through digital systems. Yet many people…

THE SHIFT 2026 Dunia mpya inajengwa mbele yetu - na kwa kiasi kikubwa tayari tunaishi ndani yake. Tunafanya kazi, kununua, kulipa, kujifunza, kuwasiliana na kufanya maamuzi kupitia mifumo ya kidijitali. Lakini wengi bado hawajatambua kuwa haya si maboresho…
Usajili wa kozi bado haujafunguliwa. Jiandikishe kwa email ili upate taarifa za uzinduzi.

Founder & CEO, Beula Digital Platform
Kubadilisha fikra. Kukuza wajenzi. Kuzalisha thamani katika uchumi wa kidijitali.
Beula Digital Platform ilianzishwa kuwapatia watu Tanzania na Afrika maarifa, mtazamo na ujuzi wa vitendo wa kushiriki katika uchumi wa kidijitali. Kupitia elimu inayopatikana kwa urahisi, tunasaidia watu na jamii kugeuza uelewa kuwa vitendo, kutumia teknolojia kutatua changamoto, kujenga biashara na kuzalisha thamani ya kudumu.
Soma Historia Yetu →Ushiriki wenye maana katika uchumi wa kidijitali huanza kwa kuelewa mabadiliko, kubadili mtazamo, kuchukua hatua za vitendo na kujifunza daima.
Tambua kinachobadilika, umuhimu wake na athari katika kazi, biashara na jamii yako.
Chunguza mitazamo ya zamani, fikiri kwa kina na tambua fursa za kutatua matatizo halisi.
Tumia unachojifunza. Anza kidogo, fanya mazoezi na tumia teknolojia kuleta suluhisho.
Pima maendeleo, jifunze kutokana na uzoefu na boresha kinachofanya kazi ili kuleta thamani ya kudumu.
Want to receive push notifications for all major on-site activities?