Sale!
,

THE SHIFT 2026- English Version

Original price was: TZS 30,000.Current price is: TZS 25,000.

THE SHIFT 2026 inaunganisha vipande hivyo na kukupa picha nzima. Kwa lugha rahisi, kitabu kinaonyesha namna miundombinu, majukwaa, data, AI, blockchain na mifumo mipya ya uchumi vinavyojenga Sayari ya Kidijitali – na kwa nini Tanzania na Afrika hazipaswi kubaki watumiaji wa mifumo iliyojengwa na wengine.

Dunia mpya inajengwa mbele yetu – na kwa kiasi kikubwa tayari tunaishi ndani yake. Tunafanya kazi, kununua, kulipa, kujifunza, kuwasiliana na kufanya maamuzi kupitia mifumo ya kidijitali. Lakini wengi bado hawajatambua kuwa haya si maboresho madogo ya teknolojia; ni kuzaliwa kwa Sayari Mpya ya Kidijitali juu ya dunia tuliyoizoea.

Tatizo kubwa zaidi ni kwamba tunaiona dunia hii kwa vipande: simu hapa, AI pale, malipo ya kidijitali, data, majukwaa na blockchain – bila kuona mfumo mmoja mkubwa unaoviunganisha vyote.

THE SHIFT 2026 inaunganisha vipande hivyo na kukupa picha nzima. Kwa lugha rahisi, kitabu kinaonyesha namna miundombinu, majukwaa, data, AI, blockchain na mifumo mipya ya uchumi vinavyojenga Sayari ya Kidijitali – na kwa nini Tanzania na Afrika hazipaswi kubaki watumiaji wa mifumo iliyojengwa na wengine.

Ndani ya kitabu hiki utaelewa

  • Jinsi miundombinu ya kidijitali, data na majukwaa vinavyounda uchumi mpya
  • Namna AI, blockchain na tokenization vinavyobadili kazi, biashara, elimu na fedha
  • Kwa nini mataifa na kampuni zinazomiliki mifumo zina nguvu kubwa katika dunia mpya
  • Nafasi, changamoto na hatari zinazokabili Tanzania na Afrika
  • Kwa nini kila mtu anahitaji kujifunza, kubadili mtazamo na kujiandaa kwa mabadiliko yanayoendelea

THE SHIFT 2026 hakikuahidi utajiri wa haraka. Kinakupa picha kubwa, lugha ya kuelewa kinachoendelea na ramani ya kuanza kujiandaa kwa wakati.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “THE SHIFT 2026- English Version”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
THE SHIFT 2026- English VersionTHE SHIFT 2026- English Version
Original price was: TZS 30,000.Current price is: TZS 25,000.